Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakati unashangaa kuhusu mfalme kuvaa hiyo fulana, ona na hii ya Donald Trump, mtu ambaye mnampigia chapuo ashinde Urais huko Marekani
View attachment 425894
mbona?Mbona hao wanawake siyo waarabu kama alivyo yeye?
Hapo umejibu swali eeh?Kwani Ufalme ni nini?
Makafiri mna chuki za kitoto sana! !!!!
Hahaaaa!!!!Aiseeee nikisoma comments za hawa makamanda hakika napata shida kuelewa kilichomo kwenye bongo zao
Ila mfalme ni msela au sharobaro sijui tuiteje. Inaonekana kwa picha hizo ni mtu wa kujichanganya sana mtaani, sema tu anacheo kikubwaWhy watu wamelichukulia hili too personal? Waarabu wa tanzania wamekuja juu utadhan hyu ni mfalme wao. Mi nachojua ni mfalme wa morocco anaweza kuwa mpuuzi pia kma ambavyo hata donald trump anaweza kuwa mpuuzi. Nachoshangaa waarabu wa sikonge, maneromango,samvula chole,kisarawe na lindi ambao uarabu wao huwa ni kula tende tu wakat wa mfungo ndo wanakasirika sana wanapoona picha kama hizi na kutokwa na povu wakat huyu jamaa hawahusu hata kidogo. Sisi miafrika myeus tunata matatizo sana. So donald trump naye ni ndugu yenu?urais wake huko marekan niny unawahusu nini? View attachment 425906 View attachment 425907 View attachment 425908 View attachment 425909
Anzisha uzi wake! Utapata wengi tu wenye mawazo kama yako!![]()
Tumjadili na huyu Pesa anatoa kwenye kipima Joto kufadhiri Chama
Huu Uzi ni wako acha kuparamia/waAnzisha uzi wake! Utapata wengi tu wenye mawazo kama yako!
Wewe ni wako?Huu Uzi ni wako acha kuparamia/wa
Majani ya Mpapaitisheti ina picha ya jani gani?naona kama muarobaini au fenethi? may be sitafelii
Hakuna kiongozi anayetukana kwa kiingereza kama huyu...yaani zile za moth***fuc humwambii kitu.hili jani ni maarufu sana kanda maalum tarime