Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Naona unamtetea mwenzioMkuu, usifikiri kila mtu anajua kuwa hiyo ni picha ya jani. Mwingine kavutiwa tu na mpangilio wa hizo rangi. Yawezekana pia hajawahi kuona hiyo bangi inakuwaje
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]