Mfalme wa Morocco - Kweli alistahili heshima ya Rais wetu Muadilifu Magufuli?

Mfalme wa Morocco - Kweli alistahili heshima ya Rais wetu Muadilifu Magufuli?

Mkuu, usifikiri kila mtu anajua kuwa hiyo ni picha ya jani. Mwingine kavutiwa tu na mpangilio wa hizo rangi. Yawezekana pia hajawahi kuona hiyo bangi inakuwaje
Naona unamtetea mwenzio
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mkuu, usifikiri kila mtu anajua kuwa hiyo ni picha ya jani. Mwingine kavutiwa tu na mpangilio wa hizo rangi. Yawezekana pia hajawahi kuona hiyo bangi inakuwaje
Mkuu, usifikiri kila mtu anajua kuwa hiyo ni picha ya jani. Mwingine kavutiwa tu na mpangilio wa hizo rangi. Yawezekana pia hajawahi kuona hiyo bangi inakuwaje
Haha umeamua kuongea chohote ili mradi pesa yako iiingie
 
Haa! Nakumbuka kikwete naye alipiga picha na lijamaa limoja lenye jicho moja na tattoo za kutosha tuliambiwa linatoka familia ya mfalme gani ya mfalme
Mullah Omar wa afghanistani?

huyu naye alikuwa na jicho moja
 
Msaada kwa mtu mwenye whatsap's namba ya JPM anitumie Tafadhali......

Hii picha inahitaji mkulu aione
 
Acha ushamba nduguu yangu...mfalume gani huyo awe hana walinzi....hapa nikudharau nchi nyingine hata kama hupendi watu wajengewe miskiti kwa ibada na wew mtumishi wa shetani basi acha kashfa...nyau wew
Screenshot_2016-10-29-07-03-39-1.png
 
hii aibu kubwa sana kwa wale ndugu zetu,naamini kwa wale wakata suruali(wavaa pedo) hawataingia kabisa kwenye hiyo nyumba tusubiri gazeti la al-nuur au kisiwa wataitoa hii picha wakipondoa ufadhili wa mjengo
kama mfalme anakuwa hivi jee raia wa kawaida atakuaje? Huyu hata ugaidi atakuwa anafadhili
Waislam wasio wanafiki hawatamuunga mkono kwenye ujenzi wa msikiti au kuswali huko kwani watachukulia ni haram...ila wale wa ubwabwa watampongeza sana.

Tusubiri tuone...huyu jamaa si wa mchezomchezo.
 
Acha ushamba nduguu yangu...mfalume gani huyo awe hana walinzi....hapa nikudharau nchi nyingine hata kama hupendi watu wajengewe miskiti kwa ibada na wew mtumishi wa shetani basi acha kashfa...nyau wew
Screenshot_2016-10-29-07-02-57-1.png
 
Why watu wamelichukulia hili too personal? Waarabu wa tanzania wamekuja juu utadhan hyu ni mfalme wao. Mi nachojua ni mfalme wa morocco anaweza kuwa mpuuzi pia kma ambavyo hata donald trump anaweza kuwa mpuuzi. Nachoshangaa waarabu wa sikonge, maneromango,samvula chole,kisarawe na lindi ambao uarabu wao huwa ni kula tende tu wakat wa mfungo ndo wanakasirika sana wanapoona picha kama hizi na kutokwa na povu wakat huyu jamaa hawahusu hata kidogo. Sisi miafrika myeus tunata matatizo sana. So donald trump naye ni ndugu yenu?urais wake huko marekan niny unawahusu nini? View attachment 425906 View attachment 425907 View attachment 425908 View attachment 425909
Hapana umeenda mbali, jamaa ameuliza tu huyu ni wa kujenga Msikiti halal?
 
Acha ushamba nduguu yangu...mfalume gani huyo awe hana walinzi....hapa nikudharau nchi nyingine hata kama hupendi watu wajengewe miskiti kwa ibada na wew mtumishi wa shetani basi acha kashfa...nyau wew
Screenshot_2016-10-29-07-02-45-1.png
 
Hapo nlikuwa namjibu dada lizabon alipoleta picha za donald trump wakat hazina uhusiano
Swal lako ni la msingi sana sijui kama litajibiwa humu ndani. Anyway... BANIANI MBAYA KIATU CHAKE DAWA.

Hapana umeenda mbali, jamaa ameuliza tu huyu ni wa kujenga Msikiti halal?
 
Ungenyamaza tu. Hujui na umekariri.jamaa ndo alivyo na hizo ni picha zake halisi. Unadhan kama ingekuwa ni photoshop aliyefanya hivyo anashindwa kulinganisha kichwa na mwili?hiyo ni picha halisi.mfalme ni msela sana

Photoshop..kichwa kikubwa kuliko mwili
 
Hapo nlikuwa namjibu dada lizabon alipoleta picha za donald trump wakat hazina uhusiano
Swal lako ni la msingi sana sijui kama litajibiwa humu ndani. Anyway... BANIANI MBAYA KIATU CHAKE DAWA.
Hiz ekselensiii, Honorable Mohammed 6th

Mheshimiwa...Mtukufuu...Mfalme wa 6 wa Morocco.....[emoji23]
 
Back
Top Bottom