Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angepiga picha na wanawake wa Rombo ulikogombea ubunge ukapata kura sita ungeweka hii comment yako ya matusi tena kwenye photoshopped pic? Pathetic!Sasa kwani yeye ana tofauti gani na Wenyeji wake Zanzibar na Tanzania?Acha unyanyapaa mkuu .JF pls tulinde heshima ya Jamii hii. Wachochezi kama Mchambuzi sidhani kama wanastahili kuendelea kuwa wanachama hapa.
these.We need more than just this few words ...
Morocco?Sahihisha mkuu hiyo sio ktu ya Meru bali kitu ya Oldonyosambu. We acha tu. Mkuu kaitangaza kikweli kweli hapo. Nadhani mh Msukuma atawasilisha hoja binafsi bunge lijalo kuwa tuifanye zao letu la biashara na sasa tuna soko.
Je kina masaburi walikuwa wahuni?Tamaduni zinatofautiana. Haramu kwako halali kwa wengine... Mfano sie Wakristo tunaopiga pork, wenzetu wa Imani nyingine wanaweza kutuona hatuna maadili wakati sie tunaona poa tu... Pia wenzetu kuoa wake wane wao wanaweza kuona poa tu wakati sie Wakristo tunaona ni uhuni tu uliohalalishwa...
Ogopa Mungu kijana.View attachment 425812
Mfalme akiwa katika starehe zake Zanzibar. Kama Taifa, tunajivunia nini Rais wetu kupokea mgeni wa aina hii? Tukisema hii ni aibu (alama ya bangi kifuani) kwa taasisi ya Rais, tutaitwa wachochezi?
@Ritz,@msemajiukweli,Lizaboni, @nguruvi3,Mag3
Mh aliona makanzu makubwa akajua mfalme ni muislamu mzuri sana akaomba msikiti kumbe mfalme ni mtu wa matanuzi na totoz sanaMchambuzi,
Wewe shida yako nini? Huyu hakuwa mgeni wako baali wa JPM.Wakti Rais anaomba fedha ya KUWAJENGEA MSIKITI na oUWANJA WA MPIRA mbona mlishangilia?????
Hakuna cha bure hapa na kwa maana hiyo Mfalme naye anastahili kupata malipo kama haya ya kutembelea Zenj na kustareheshwa na watoto wa Kingazija! Mbona hakuna matata kabisa!
Wewe ndiye unatia aibu. Chunguza kwanza hizo picha kabla ya kulalama. Picha zimepigwa eneo moja kwa mavazi totauti na kwa siku moja. Je alikuwa akibadilisha nguo humo humo dukani?Mtukufu mgeni wake anavaa fulana inayotukuza bangi ikizingatiwa uzito wa ugeni uliowekwa na ikulu na aina ya ahadi zilizotolewa?
Sitashangaa kama MODs watapigiwa simu na kurugenzi ya ikulu au Lumumba kufunga huu Uzi. Hii ni aibu kubwa and such a setback kwa nguvu yote iliyotumika.
Hoja yetu ni kwamba hii ni aibu kwa taasisi ya urais, nchi. Hakuna vyama wala itikadi hapa. Otherwise Cyber crime ipo, waende mahakamani tukutane huko. Mfalme aliyepokewa kwa mbwembe ni mtukuzaji bangi, ushahidi upo.Wewe ndiye unatia aibu. Chunguza kwanza hizo picha kabla ya kulalama. Picha zimepigwa eneo moja kwa mavazi totauti na kwa siku moja. Je alikuwa akibadilisha nguo humo humo dukani?
Na huyo ni kiongozi wa nchi je anaweza kukatiza mitaa bila ulinzi? Unakumbuka ulinzi wake Dar ulivyokuwa? Hata kama anapenda totoz kwa wadhifa wake anaweza kujianika hivyo kwa utandawazi wa sasa?
Umedanganywa, umedanganyika na photoshop na wewe unalalama. Lazima ni 1 ya 4 wewe.
''USHAHIDI TUNAO'' Hii umenikumbusha ya Lowasa kwamba ni fisadi papa na ushahidi mnao. Badala yake ushahidi hamkuutoa na kwa sasa mnasema ni raisi ya mioyo yenu.Hoja yetu ni kwamba hii ni aibu kwa taasisi ya urais, nchi. Hakuna vyama wala itikadi hapa. Otherwise Cyber crime ipo, waende mahakamani tukutane huko. Mfalme aliyepokewa kwa mbwembe ni mtukuzaji bangi, ushahidi upo.
Hizo converse nimezielewa, kifupi mfalme anajua kutupia vitu vya kijanjaView attachment 425812
Mfalme akiwa katika starehe zake Zanzibar. Kama Taifa, tunajivunia nini Rais wetu kupokea mgeni wa aina hii? Tukisema hii ni aibu (alama ya bangi kifuani) kwa taasisi ya Rais, tutaitwa wachochezi?
@Ritz,@msemajiukweli,Lizaboni, @nguruvi3,Mag3
Inaonekana wewe bado ni mshamba sana.Lakini sikulaumu.Hoja yetu ni kwamba hii ni aibu kwa taasisi ya urais, nchi. Hakuna vyama wala itikadi hapa. Otherwise Cyber crime ipo, waende mahakamani tukutane huko. Mfalme aliyepokewa kwa mbwembe ni mtukuzaji bangi, ushahidi upo.