Mfalme wa Morocco - Kweli alistahili heshima ya Rais wetu Muadilifu Magufuli?

Mfalme wa Morocco - Kweli alistahili heshima ya Rais wetu Muadilifu Magufuli?

Wewe MTU ukifa kabla hujabeba uJAUZITO wa maMVI utaishi kwa sononeko sana huko utakakokuwa....hapa anazungumzwa mgeni wa mtukufu ...vipi uwajumuishe wasiohusika
Mtukufu mgeni wake anavaa fulana inayotukuza bangi ikizingatiwa uzito wa ugeni uliowekwa na ikulu na aina ya ahadi zilizotolewa?

Sitashangaa kama MODs watapigiwa simu na kurugenzi ya ikulu au Lumumba kufunga huu Uzi. Hii ni aibu kubwa and such a setback kwa nguvu yote iliyotumika.
 
Waweza Ziweka Hizo Picha Zingine Hapa Jf?
4206235c3bba753c653bccbf8399f34c.jpg
 
Waweza Ziweka Hizo Picha Zingine Hapa Jf?
Mtu wetu alikuwepo Mercury Zanzibar na akapiga picha. Zipo kwenye camera, pia zipo kwenye camera za mercury kama hawajaamrishwa kuzifuta lakini pia Kuna alaiki iliyomuona na nguo yake inayotukuza bangi, ipo tele.
 
Hio picha imetengenezwa tena na Mwanfunzi asiyejua vzuri ndio maana unaona hakuna uhusiano kati ya Miguu na eneo la kiwiliwili mpaka kichwani. Itz Photoshop material. Tujifunze kuheshimu viongoz wa mataifa ya wenzetu.
kuhusu miguu ni kweli jamaa ana fito,, hata hivyo wafa..lme hua ni vyeo ambavyo hupitishwi kwenye tanuri kuhakikisha hatoki taa..hira kuwa mfa..lme,, hata anaetegemewa kuwa mfalme wa tha.iland inasemekana ni mikato hiyo hiyo make kinachoangaliwa ni uwe ndo unafuatia kwenye kizazi cha mfalme tuu..Ila bado hii picha sio nzuri sana naomba sana iwe photoshop
 
Mimi sitaki kuongelea sana kuhusu hiyo Picha. Ila kafanya kufuru sana kwenye hoteli aliyofikia. Wamefumua kila kitu kuanzia AC, TV, mafridge, hadi mlango wameweka wa kwao. Nikajiuliza siku anaondoka hivyo vitu wataviondoa au vitabaki pale kama kumbukumbu?
 
Yupo Zanzibar kwa zaidi ya siku moja. Leo hii alivaa nguo yenye kutukuza bangi.

Hoja yetu ni kwamba taasisi ya Urais imedhalilishwa. Lakini kama hoja yenu ni kwamba tunafanya Photoshop na ni wachochezi, tupelekeni mahakamani.
 
Mgeni wa Rasmi wa Rais muadilifu JPM anavaa nguo yenye kutukuza bangi katika hadhara mnasema ni maisha yake binafsi? Where are our senses? Au tunaukubali utafiti kwamba sisi watanzania, mmoja Kati ya wanne tunaugua akili?

Mchambuzi,
Wewe shida yako nini? Huyu hakuwa mgeni wako baali wa JPM.Wakti Rais anaomba fedha ya KUWAJENGEA MSIKITI na oUWANJA WA MPIRA mbona mlishangilia?????

Hakuna cha bure hapa na kwa maana hiyo Mfalme naye anastahili kupata malipo kama haya ya kutembelea Zenj na kustareheshwa na watoto wa Kingazija! Mbona hakuna matata kabisa!
 
View attachment 425812

Mfalme akiwa katika starehe zake Zanzibar. Kama Taifa, tunajivunia nini Rais wetu kupokea mgeni wa aina hii? Tukisema hii ni aibu (alama ya bangi kifuani) kwa taasisi ya Rais, tutaitwa wachochezi?

@Ritz,@msemajiukweli,Lizaboni, @nguruvi3,Mag3
Private life yake ni yake.
Kila kiongozi ana sura mbili
PUBLIC face na
PRIVATE face.
Uso mbele ya Umma na USO wake binafsi kama mwanadamu.
Kama mwanadamu anahitaji kufurahi na watoto wake ama mke wake. ama wajukuu.Na akiwa ofisini ni Mfalme, Rais nk.
Picha hii hainishangazi.
Labda alikuwa anajiburudisha.
Jamaa hata kama amevaa hivyo ni msomi ana PhD ya sheria.
Hata kama siku ile alikuwa kimya. Jamaa anaongea lugha kadhaa Kiingereza, Kifaransa Kihispania na Kiarabu. Yeye ni LIBERAL sana!Yaani mtu asiye na misimamo mikali maana alisomea ulaya.Si mshamba vile unavyofikiria!
Alipopokelewa na heshima ni ile OFISI YA KIFALME. Na Zanzibar alifanya shopping kama yeye si ofisi ya Kiflme.Amevaa vazi si la kifalme.Hivyo hatuna sababu ya kuwa ni issue!
 
Hii ni Photoshop wakuu. Hawa form six leaver humu ni tatizo lingine!
 
Idadi ya watalii imepungua au imeongezeka? Changanya wale mabohora na wa huyu mfalme? Hii ndio hoja ya msingi hapa?

Na washawasha!
 
Mimi sitaki kuongelea sana kuhusu hiyo Picha. Ila kafanya kufuru sana kwenye hoteli aliyofikia. Wamefumua kila kitu kuanzia AC, TV, mafridge, hadi mlango wameweka wa kwao. Nikajiuliza siku anaondoka hivyo vitu wataviondoa au vitabaki pale kama kumbukumbu?
Kama kweli basi hatari.
Ila si ndio maana ya mfalme?
 
Back
Top Bottom