Mfalme wa Morocco - Kweli alistahili heshima ya Rais wetu Muadilifu Magufuli?

Nini hiki
nini hiki?
 
Mbuta nanga nyi kyikyi ikyi [emoji15] heee hizo picha mbona naona maruweruwe ndio style hiyo au zile laana zilizoandikwa ndani ya Biblia Takatifu duu .
 
mkulu kaingizwa chaka na watoto wa kishua

si kila wingu linaleta mvua,mengine yanapita tu
 
Hata viongozi wana maisha binafsi ya kiraia na wana haki ya kuwa huru. Sio kila saa Misuti na mitai
 
Hivi ukiwa Mfalme, au Papa au Rais huna maisha yako ya kawaida? Hahahaha hapa wengi wetu tunaaamini dini ya mtu inawezakubadiri hata DNA yake!
 
We know you are very good in negative publicity but, just take a few minutes to do a simple research. All resources are available to enable you look credible at least for once. Otherwise, you expose your idocy to every Tom, Dick and Harry. You are a disgrace to Tanzania.
 
Me ningekua kama uyo mgeshangaa.. Uyo mbona yuko smart sana
 
tumeingia choo tena cha kike maajabu mengine bado yanakuja
 
Hata kama dunia imetuchoka, basi isitufanyie hivi!!

Kipindi cha JK tulishuhudia viongozi wenye nguvu kubwa ya uchumi na kijeshi kutoka marekani, China na mataifa mengine wakitua Tanzania.

Hakika zilikuwa ziara nzito kwa nchi hii na ziliipeleka Tanzania kilometa milioni kwenye dunia ya diplomasia.

Baadae awamu hii tukaacha kwenda nje ya nchi,serikali nzima ikaacha kwenda nje ya nchi. Matokeo yake tukaanza kupata wageni ambao ni kichekesho kwa taifa.

Jamani tujirekebishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…