Mfalme wa Mwisho wa Zanzibar Jamshid atua Oman kwa mara ya kwanza

shida yao kuu kuhusu muungano wao wanataka watawaliwe na waarabu.wanawapenda kweli waarabu na waarabu ni wabaguzi hawataki hata kuoana nao lakini maislamu bado hayaelewi
Wanaona raha!!! Islams walio wengi hawana Elimu ya Darasani, mbali na Madrasa, yaani hawa? ni mzigo kwa Mama Africa.
 
shida yao kuu kuhusu muungano wao wanataka watawaliwe na waarabu.wanawapenda kweli waarabu na waarabu ni wabaguzi hawataki hata kuoana nao lakini maislamu bado hayaelewi

Muislamu ndugu yake Muisilamu haijalishi rangi, utaifa, ama kabila lake. kuhusu kuoana mbona wengi tu wameoana sema upo huko mashambani unalima viazi na mtama utajua nini wewe!
 
Muislamu ndugu yake Muisilamu haijalishi rangi, utaifa, ama kabila lake. kuhusu kuoana mbona wengi tu wameoana sema upo huko mashambani unalima viazi na mtama utajua nini wewe!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] wapi huko wanaoana hebu tetea hoja yako
 
Mbona unateseka hivyo,,,wagalatia mnatabu sana. Na bado mtaendelea kuumia dhidi ya waarabu, watu wa amani na upendo mpaka akili ziwarudi.
Kwanza tulia. Umeleta hoja ya ugalatia! Hiyo siyo msingi mkuu wa mada hii.

Pili siteseki. Sina tabu. Siumii. Waarabu ni watu kama wewe na hawana kitu kwangu.

Tatu waarabu siyo watu wa upendo km unavyofikiri inaonesha umekuwa brainwashed to emptiness. In short kila jamii ina crooked people hata ktk ukoo wenu anaweza kuwepo chizi mmoja.

Nne akili zangu hazijawai ondoshwa kwa kigezo cha dini, historia, itikadi, post ya mwana JF anayenikwoti au mfumo wowote ule.
 
Propaganda za kitoto zilizokuwa zikitumika enzi za giza na mpaka mwaka juzi,Sasa hazifanyi kazi tena.Huwezi ukamsingizia mtu kusema kitu kwa kuweka picha yake hata iwe video na maneno yako.
 
Weee! wanaiogopa hata kuisikia tu! Misri ilinyanyua mikono kitambo, Lebanon, na sasa UAE, si unamjua Kashodge issue, iliwaingiza familia ya kifalme chaka! sasa UAE wameufayata wanaitambua Israel, Bado Iran kichwa maji!
Fafanua kidogo hapa tukupate zaidi

U kitaka kuamini nenda Kariakoo, wapalestina wengi wanajifanya wapemba! sema nao ''Shaloom''! weee nakwambia wanahama faster, wanajua Israel iko kila mahali, wana agents! na anaweza kukupoteza mazimaa! bila hata serikali kujua!
Wasiswasi wako tu,haiwezekani walebanoni wajigeuza wapemba.Inaonekana hujui asili na sababu za mahusiano ya watu.

Epuka sana kumfanyia Mwenyezi Mungu kiburi na kutaka kuchukua ukubwa kama wa kwake.Tangu dunia iumbwe hajawahi dhalimu kudumu na ushindi.Na hajawahi kuponyoka mikononi mwake akawatambia viumbe vyake. Dhalimu akiwa muislamu au myahudi au mkristo au baniani vigezo vikitimia hufedheheshwa.
 
Cc Dalmine
 
Ficha ujinga wako.
 
Maalim akishashinda Zanzibar na huyu Sultan arudi nchini kwake.
 
naumia mimi au unaumia wewe?mi naongea facts.agenda yenu mnataka kila mtu awe muislamu.utamfuataje mtume aliyembaka mtoto wa miaka 9 kama sio utahira huo

Naona unajitekenya tu mkuu, Ajenda Zanzibar umehamia kwengine.

Siku zote Hamuachi kuonesha chuki zenu wazi wazi
 
naumia mimi au unaumia wewe?mi naongea facts.agenda yenu mnataka kila mtu awe muislamu.utamfuataje mtume aliyembaka mtoto wa miaka 9 kama sio utahira huo
Huyu alimuoa mdogo ana miaka 9 lakini hakumchukua nyumbani mpaka alipokuwa mkubwa.
Hilo linakuuma na unashindwa kuona yale yanayofanyika kule Vatican na kwengineko na sio kwa wanawake bali wanaume kwa wanaume.Utaonekanaje kuwa una akili timamu ukiwasikiliza wababa wa aina hizi.Ukiwa muislamu utasalimika zaidi kwani mambo hayo yamekemewa vikali sana na adhabu zake hazifanani na zile mnazotoa na kufichiana siri huku wavulana wakiangamia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…