Unazungumzia historia iliyojaa chuki iliyoandikwa na wazungu katika kujikosha kwao na kuwapakazia waislamu na waarabu uovu.
Lakini kwa sababu wazungu hii biashara ya utumwa ni yao na imo mioyoni mwao na wanawadharau sana watu weusi basi hawajaacha mpaka hii leo tunavyozungumza.
Tatizo watu weusi wenyewe hasa wa huku kwetu hawana macho na akili za kuona kwa vile tu anayefanya ni mzungu wanayemuabudu na kasumba kuhusu waarabu zimewaingia sawa sawa kwenye akili zao.
Angalia hapo chini mtu mweusi anavyoburuzwa kwa kamba pamoja na mbwa kwenye jimbo la Texas nchini Marekani.Jina la ndugu yetu ni Donald Neely mwenye umri wa miaka 44 na imetokea juzi tu.
View attachment 1598395