BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Huyo ni mfalme wa baca sio dunia
Jitambulishe Kuwa Ni Mfalme Wako na Wa Barcelona na si Wa Dunia Kama Ulivyojiaminisha
Kama sio wa dunia zile barondoo je ni za ndondo cup au za barca?Huyo ni mfalme wa baca sio dunia
Kama sio wa dunia zile barondoo je ni za ndondo cup au za barca?
Umepotelea wapi kiongozi wanguMechi Moja Kombe i see au Ngao ya ufunguzi
Mdogo mdogo kwa Manati maana jf si salama tena so hata kuchangia inabidi iwe kwa Nadra siku ambayo hauna Stress ili usikosee... Mzima kabisa MkuuUme
Umepotelea wapi kiongozi wangu
Mdogo mdogo kwa Manati maana jf si salama tena so hata kuchangia inabidi iwe kwa Nadra siku ambayo hauna Stress ili usikosee... Mzima kabisa Mkuu
Cr7 baron d'orβ6Kama sio wa dunia zile barondoo je ni za ndondo cup au za barca?
Ilo la 6 kapata mwaka gani?Cr7 baron d'orβ6
Messi baron d'orβ5
MFALME NI CR7
2018 anakabidhiwaIlo la 6 kapata mwaka gani?
Hahahaha kuota inaruhusiwa2018 anakabidhiwa
Kwani hujui kuwa mwaka huu anayechukua ni nani mbona mnapenda kujisahaulisha?Ilo la 6 kapata mwaka gani?
Ahahaha jamaa anabibwe hadi si vzr wameamua kumbemba hata kwenye goli la msimu,2018 anakabidhiwa
AnabebwaAhahaha jamaa anabibwe hadi si vzr wameamua kumbemba hata kwenye goli la msimu,
Hivi la CR linaubora gani kuliko la Bale alilowafunga Liverpool kwenye Fainal
2018 anakabidhiwa