BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
- Thread starter
- #41
Mimi sio Mshabiki Wa Ronaldo wala Wa Messi..
Ninachojua Mimi Mfalme halali Wa Soka anaetambuliwa na Dunia Ni PELE... hao wengine munaogombaniana Ni Wafalme Wa Vilabu Vyenu na Ndiyomana Munaishia Kuvutiana Kwasababu Nyote Hamjawa Proved.
Anzisha basi thread yako ya huyo babu..hii inamhusu king kuwahi kutokea.