Mfalme wa soka duniani ameshinda mataji mengi katika historia ya FC Barcelona

Mimi sio Mshabiki Wa Ronaldo wala Wa Messi..
Ninachojua Mimi Mfalme halali Wa Soka anaetambuliwa na Dunia Ni PELE... hao wengine munaogombaniana Ni Wafalme Wa Vilabu Vyenu na Ndiyomana Munaishia Kuvutiana Kwasababu Nyote Hamjawa Proved.

Anzisha basi thread yako ya huyo babu..hii inamhusu king kuwahi kutokea.
 
Anzisha basi thread yako ya huyo babu..hii inamhusu king kuwahi kutokea.


Tatizo Unalazimisha Mambo Yasiyokuwa na Uhalisia.
Yani Mtu Kama Ndani Ya Ligi anayocheza tu haijamtambua Kama Ni Mfalme? Utawezaje Kuwaaminisha Watu Kuwa Ni Mfalme?
Sema tu Kama Messi Ni Mfalme Wa Barcelona lakini si Nje ya Barcelona.

Kwenye Soka Kuna Mfalme Mmoja tu!!
Naye Ni PELE whether You want or not hilo ndiyo wadau Wa soka tunalotambua.
 
MFALME WA SOKA DUNIANI

Lakini kwa bahati mbaya ndani ya World cup 3 ameshindwa kufunga hata goli moja ndani ya hatua zamtoano.
 
Mfalme lazima awe amekamilika kila kitu wazee

Ukitaka kujua messi ni zwazwa mpe mpira mguu wa kulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…