Mfalme wa soka ulimwenguni atwaa tuzo ya mchezaji bora UEFA kwa mara nyingine

Mfalme wa soka ulimwenguni atwaa tuzo ya mchezaji bora UEFA kwa mara nyingine

Huyu jamaa achunguzwe ..matibabu yake yalitumia hormones enhancement. .sio mtu wa kawaida nitapinga mpaka nitapokufa..scam na Adidas inaenda kuanguka. .Amstrong alitumia same products na huyu andunje. .next?????
 
Umepotosha watu,hyo ni tuzo ya uchezaji bora kwa wiki. Anyways Lionel means Young Lion!!
 
Sio mchezaji bora wa uefa ..mchezaji bora wa uefa alichukua modric ..so hadi watangaze tena

Yeye kachukua mchezaji bora wa week wa michuani ya klabu bingwa ulaya na sio chama cha soka

Sorry kamanda wangu, nimepitiwa ktk uandishi... ni tuzo ya wiki...
 
Back
Top Bottom