fidel castro wapili
JF-Expert Member
- Mar 18, 2017
- 3,497
- 2,911
OkMapenzi yamemzidi huyu Jamaa ,vizuri kwa kumuelimisha....Messi hana mpinzani kwa kiwango alichonacho
Huyo ni Diblo DiballaNa Dybala
Akapimwe hormones
Tuzo za hivi siyo ishu, huwa wanachukua hadi akina Zana Coulibaly
Sio mchezaji bora wa uefa ..mchezaji bora wa uefa alichukua modric ..so hadi watangaze tena
Yeye kachukua mchezaji bora wa week wa michuani ya klabu bingwa ulaya na sio chama cha soka