NAKEMBETWA
JF-Expert Member
- Apr 20, 2012
- 3,517
- 3,135
Toa pumba zako hapa,hakuna na atoweza kutokea mfalme wa soka Kama CR7 mnyama over.
Unacheka ujinga[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Acha siasa hakuna kama Cr7 mnyama kwa taarifa yakoKwa kipi? Hivi uliwahi kusikia zile comments za makocha wakubwa duniani walivyomuongelea King Messi?
Sasa wao na wewe Nani anamfahamu vizuri La pulga?
Cha kufurahisha zaidi mtoto mkubwa wa Cr 7 ni shabiki mkubwa wa King Messi,hii ni kwa mujibu wa ronaldo mwenyewe
Hata akiama maana ndio mchezaji amabaye anaweza kucheza kila club na ligi na akawika sio kama huyo pimbi wenuNasikia anataka ahame Juve mfalme wako
Unacheka ujinga
Hamna kitu Cr7 mnyama ndo kila kituSawa BS na ID yako mpya [emoji14] Messi anawanyoosha kweli kweli so mchezo