Mfalme wa soka ulimwenguni atwaa tuzo ya mchezaji bora UEFA

Mfalme wa soka ulimwenguni atwaa tuzo ya mchezaji bora UEFA

Kwa kipi? Hivi uliwahi kusikia zile comments za makocha wakubwa duniani walivyomuongelea King Messi?
Sasa wao na wewe Nani anamfahamu vizuri La pulga?
Cha kufurahisha zaidi mtoto mkubwa wa Cr 7 ni shabiki mkubwa wa King Messi,hii ni kwa mujibu wa ronaldo mwenyewe
Acha siasa hakuna kama Cr7 mnyama kwa taarifa yako
 
Back
Top Bottom