Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,444
- 110,233
Hi there, I'm bored at here ukijumuisha na matukio yanayoendele kwa viongozi wa serekali yetu nikaona nishee nanyi baadhi ya vita vilivyoanzishwa na na viongozi wa nchi ambapo ukifikiria sababu za kuanzishwa kwa vita hivyo ni kutokana na viongozi kua na matumizi mabovu ya uongozi na mabavu sihemu inayohitaji ufikiri na akili tu.
-Mfalme Julius Caesar 'Caligulla'
Huyo bwana mdogo alishika madaraka akiwa chalii tu kawa mfalme mzuri ila baada ya muda aliumwa sana alipopona tu ndio akaanza vitimbwi na matendo yaoe ya ajabu ajabu hadi akauawa na Seneti yake (Tukio hili nilieleza kwenye uzi wa Cleopatra)
Baadhi ya matendo yake ya ajabu aliyofanya ni hili..
www.jamiiforums.com
Julius Caesar muda mrefu alitamani sana kuivamia nchi Britain kutokana na resources ilizokua nazo so siku moja akakusanya jeshi lake kwenda Britain kuivamia. Walivyofika kwenye fukwe ya bahari akabadirisha maamuzi akawaagiza wanajeahi wake waipige bahari. So mwamba akakaa pembeni wanajeahi wakapanga mstari na kuanza kuyapiga mawimbi mikuki na mapanga kwa muda mrefu. Alivyokua bored akawaambia waache na wakusanye seashales kama spoils of war (spoils of wars ni vitu wanavyokuja navyo wanajeahi waliotoka kupigana vita na kushinda)
-xerxes mfalme wa Uajemi
Mfalme Xerxes katika utawala wake malengo yake makubwa yalikua ni kuitawala Ugiriki (nimeelezea zaidi kwenye uzi wa mfalme Leonidas kutoka Sparta na jeshi la askari 300)
www.jamiiforums.com
Siku moja alikua anajesha Pantoni ya kuwavusha askari wake ili waende kuvamia Ugiriki sasa ikatokea dhoruba na kuharibu panton aliyojenga. Akapata hasira sana akaamuru bahari ichapwe viboko 300, akaamuru minyororo itupwe baharini kama ishara ya kuiweka kifungoni bahari huku akiilaani na kuitukana matusi makali. Pia akaamuru engineers wote waliohusika kujenga wauwawe.
Stupidity at its best
-Mfalme Julius Caesar 'Caligulla'
Huyo bwana mdogo alishika madaraka akiwa chalii tu kawa mfalme mzuri ila baada ya muda aliumwa sana alipopona tu ndio akaanza vitimbwi na matendo yaoe ya ajabu ajabu hadi akauawa na Seneti yake (Tukio hili nilieleza kwenye uzi wa Cleopatra)
Baadhi ya matendo yake ya ajabu aliyofanya ni hili..
Jinsi mapenzi yalivyofanya ufalme wa Egypt/Mizraim kuanguka na kusambaratika
Hello... Previous I wrote a topic centered on Greece and we discussed a bit about Egypt, So this Topic will be serving as a spin-off of that Topic. Will focus on Rise and fall of Egypt , Pharaoh's Dynasty Respectively Baada ya gharika iliyoikumba dunia wakati wa Noah (Nuhu) watoto wake wakaanza...
Julius Caesar muda mrefu alitamani sana kuivamia nchi Britain kutokana na resources ilizokua nazo so siku moja akakusanya jeshi lake kwenda Britain kuivamia. Walivyofika kwenye fukwe ya bahari akabadirisha maamuzi akawaagiza wanajeahi wake waipige bahari. So mwamba akakaa pembeni wanajeahi wakapanga mstari na kuanza kuyapiga mawimbi mikuki na mapanga kwa muda mrefu. Alivyokua bored akawaambia waache na wakusanye seashales kama spoils of war (spoils of wars ni vitu wanavyokuja navyo wanajeahi waliotoka kupigana vita na kushinda)
-xerxes mfalme wa Uajemi
Mfalme Xerxes katika utawala wake malengo yake makubwa yalikua ni kuitawala Ugiriki (nimeelezea zaidi kwenye uzi wa mfalme Leonidas kutoka Sparta na jeshi la askari 300)
Alichokifanya mfalme Leonidas wa Ugiriki ndio anachokifanya Magufuli Tanzania
Ugiriki ya zamani ilikua imeundwa na miji ipatayo mia moja ambapo kila mji ulikua na utawala wake, Mji wa Athens na Sparta ndio ulikua miji mikubwa na yenye nguvu zaidi, japo miji hii mra nyingi ilikua inapigana kwa ajili ya kugombania ardhi lakini vilikua vimejiunga pamoja ili kujilinda na...