unahisi kuna uzi wako sijai usomaππ,. Achana na comments kila kitu chako humu nimekisomaHujanikutaga anga zangu nikiwa naandika upupu. Ni balaa na huu ujinga wangu nilionao. I pray usije niona
Yeah sema tu sikuizi nimekuwa mvivu kulike kama zamaniHeee hadi maujinga yangu yote ya miaka hiyo umesoma???
Sema jamaa nikionaga tu uzi wako najua umeandika madini hata kama sijasoma
haha Asa sorry ya nini?ππ,Daaah I'm so sorry kama kuna sehemu nilikuDissapoint. Mm mwanadamu pia ujinga sikosi
Umepotea sana mkuu halafu ni kama hauna furaha hivi.Heee hadi maujinga yangu yote ya miaka hiyo umesoma???
Bwanamdogo hayupo sawa.Umepotea sana mkuu halafu ni kama hauna furaha hivi.
Ni vizuri ku'take care of one onotherBwanamdogo hayupo sawa.