Bwanamdogo hayupo sawa.
Wakuu kwann mwaona sipo sawa?? Please tell maana inawezekana mm najiona niko sawa ila mnaonizunguka ndo mwaona ninavyoangamia. Naombeni mnijuze mnaweza kua mmenisaidia kuniokoaNi vizuri ku'take care of one onother
Mbona uwezo wako ni mkubwa sana jamaa shida ni nini hasa mpaka unakosa happiness najua si kwamba nina happiness no lakini watu wa karba yako huwa nawaona mna potential kubwa sana katika nchi sema nchi zetu hizi connection na uchawa ndo vinaamua watu special kama wewe muishije.Maisha tu kaka sio kupenda kwanga. Everyone need happiness
Uwasilishaji wako wa hii mada mkuu, umepunguza nondo na umeandika kinyonge fulani hivi.Wakuu kwann mwaona sipo sawa?? Please tell maana inawezekana mm najiona niko sawa ila mnaonizunguka ndo mwaona ninavyoangamia. Naombeni mnijuze mnaweza kua mmenisaidia kuniokoa
Kama alivyosema mdau hapo juu maandishi yanaongea sana hii mada umeiwasilisha kinyonge sana na bila ushawishi wako tunaoujua lakini pia siku hizi hauleti nondo zako zilizoshiba juu ya mada zako na zinakuwa zinajitosheleza.Wakuu kwann mwaona sipo sawa?? Please tell maana inawezekana mm najiona niko sawa ila mnaonizunguka ndo mwaona ninavyoangamia. Naombeni mnijuze mnaweza kua mmenisaidia kuniokoa
Bro sio mm ni maisha. Nyuzi hizo nilikua nazianzisha nikiwa under 24. Nilikua na muda wa kutosha kuandika magazeti.Kama alivyosema mdau hapo juu maandishi yanaongea sana hii mada umeiwasilisha kinyonge sana na bila ushawishi wako tunaoujua lakini pia siku hizi hauleti nondo zako zilizoshiba juu ya mada zako na zinakuwa zinajitosheleza.
Haikutokea tena... Nashukuru Mungu sikunasa mtegoniAu mkuu yule maza aliyetaka umzalishe mtoto alikutibua sana, natania tu boss japo all in all hauko katika ubora wako kwa sasa mkuu.
Kaka bongo bahati mbaya. Ili ifanikiwe inatakiwa ujitoe akili Kama akina mwijaku na sio kutia akili. Utakula akili ila mfukoni zeroMbona uwezo wako ni mkubwa sana jamaa shida ni nini hasa mpaka unakosa happiness najua si kwamba nina happiness no lakini watu wa karba yako huwa nawaona mna potential kubwa sana katika nchi sema nchi zetu hizi connection na uchawa ndo vinaamua watu special kama wewe muishije.
Nakuona hata ukiwa kwenye idara nyeti unafaa sana mkuu uwezo wako wa kuchambua taarifa ni mkubwa haijawahi kutokea. Pole sana mkuu sema na mimi sina uwezo wowote dah basi tu mkuu.
Maisha kuna namna yanatutune tusiwe vile asili yetu ilivyo aisee, mpole utakua muongeaji.Kaka bongo bahati mbaya. Ili ifanikiwe inatakiwa ujitoe akili Kama akina mwijaku na sio kutia akili. Utakula akili ila mfukoni zero