Mfalme Zumaridi akamatwa na Polisi Mwanza

Hilo ndio kosa alilokamatwa nalo?
Hapa unaangaliwa uhuru wa kuabudu na katiba ilivyovunja.

Kama kujiita sijui Mfalme au Marikia, Kuna nabii Mwanamke?
Mbona wanajiita wengi tu.
Au hawa nao watajiunga kwenye huo ufedhuli?


Kama anachukua fedha huko, na ushahidi unao kwa nini msimfichue?
 
Mimi Nina macho ya kuona ambavyo wewe uwezi kabisa kuona vinginevyo ukiona utakua mwehu mkuu Zumaridi ni MUNGU wa wanaomwamini.💯
Mimi Nina macho ya kuona ambavyo wewe uwezi kabisa kuona vinginevyo ukiona utakua mwehu mkuu Zumaridi ni MUNGU wa wanaomwamini.💯
Haina shida.Basi hiyo ni cocacolastic!
 
Mbona mwamposa hakamatwi?
Kwani kuna tofauti kati yao???
Ni kwa sababu huyo Zumalidi hali na kipofu. Ila kimsingi hawana tofauti. Maana mmoja anajiita mungu/mfalme! Na mwingine anajiita nabii/mtume, nk.
 
Mbona mwamposa hakamatwi?
Kwani kuna tofauti kati yao???
Zumaridi ni psychopath, anaweza leta maafa mbele ya safari. Mwamposa ni mjasiliamali anayechuma kwa kutumia jina la Mungu na mtoto wake Yesu.
 
Mama wa watu amejiajiri ila wao wanataka awe jobless ili awe chawa wao 😭
 
Wahi Mirembe mkuu. Ukiombwa ushahidi wa tuhuma zako utautoa?
 
Kama yeye sio Mungu?
Basi wamuonyeshe huyo wanayezani ndiye?

Uhuru wa kuabudu unaingiliwa na katiba inavunjwa
Una hoja, usikilizwe. Wakiambiwa huyo mwingine yuko wapi watakimbilia Biblia takatifu.
 
Hivi magerezani hakuna sumu? I mean slow poison?
 
NYote mnaosema zumaridi sio MUNGU tuonesheni huyo MUNGU Yuko wapi!!!
Dah, utaambiwa soma kitabu cha Mwanzo sura ya kwanza. Au kitabu cha Yohana Mtakatifu kinasema hapo Mwanzo lilikuwepo neno, na hilo ndilo Mungu, naye akamzaa Yesu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…