Mjina Mrefu
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 3,045
- 3,389
Hahaha... Mkuu umeua sanawewe unafanana na twiga sababu ya jina lako
[emoji23][emoji23][emoji23] mzee wa tunguli anaweza kuibuka usiku na ungo.... Hatari sanaNadhani Mshana anafanana na Kiboko.
NB: Tusitafutane usiku Mkuu samahani sana.
Haaaa! Unamfananisha na Kiboko Mshana Jr. Mkuu shauri yako.[emoji23][emoji23][emoji23] mzee wa tunguli anaweza kuibuka usiku na ungo.... Hatari sana
Ila kwann hujatoa sababu ya yeye kufanana na kiboko mkuu?
Mkuu huna unaemfananisha na mnyama??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aisee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nyani ngabu atakuwa anafanana na nyani
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]mshanaHaaaa! Unamfananisha na Kiboko Mshana Jr. Mkuu shauri yako.
Unaogopa kipondo...Shunie-ndege tausi.
demiss-fisiem
Miss natafuta-kanga pori
Wanaume sitaki utani na nyie
Mkuu, wewe huna wa kumfananisha?UTAFANANISHAJE ID/AVATAR FEKI NA WANYAMA AISEE??
Kuna watu wanapiga deep meditation humu.usiku unashtukia katokea km popobawaUnaogopa kipondo...
Ngoja aje[emoji23]
Sasa wanawake cndo expert wa hizo mambo?Kuna watu wanapiga deep meditation humu.usiku unashtukia katokea km popobawa
Mwanadada aje tu namkaribishaSasa wanawake cndo expert wa hizo mambo?