Mjina Mrefu
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 3,045
- 3,389
Wakuu,
Km heading inavyojieleza. Ndo umepata chance ya kumfananisha member wa jf na mnyama unaempenda au usiyempenda.. Utamfananisha nani? Na kwanini?
Kwa upande wangu, mimi namfananisha Hajar na kondoo. Kondoo ni mnyama ninaempenda sana maana ni mpole na mtaratibu sana.. Hajar naona naye ni mpole na mtaratibu na sikuwahi ona hata siku moja ametoa kauli mbaya humu yenye kuleta offense au disappointment kwa mtu. Nampenda sana hajar sawa na nimpendavyo kondoo
Vipi kwa upande wako?