Mjina Mrefu
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 3,045
- 3,389
- Thread starter
-
- #41
Haha.. Wewe unamfananisha member gan na mnyama humu?Nilivyoona huu uzi nikajikuta nakimbilia kufungua nione yaliyomo ghafla nilichokiona ndani nikacheka sana sababu mie huwa Kondoo namuona tu na wala sijuagi tabia zake zaidi ya kila ninapomuona kajawa na kamas* huku kichwa kinaangalia chini.
Haya mleta uzi wacha na mie niamini hivyo Ahsante.
[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Ha ha ha naona sasa unabii unatimia.....am intelligent tooHahahaaa. Nimeyasikia aiseee.
Hahahah yupi Pig au Warthog?Barbarosa anafanana na nguruwe.
Kwa sababu yeye anapenda kushabikia na kusifia vitu haramu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Barbarosa anafanana na nguruwe.
Kwa sababu yeye anapenda kushabikia na kusifia vitu haramu.
Kwann dolphin?ila inategemea na kondoo wa wapi....kondo wengine ni wabishi na jeuri kama mbuzi.
Mleta mada ufafanue na nature ya mnyama....kuna simba wa porini na simba wa circus/maonyesho hawa tabia hazifanani,
Kuna mamba wa ulaya/america na mamba wa africa ambao hawana mazoea na binadamu hata umlee tangia akiwa yai.
[emoji1][emoji1][emoji12][emoji12][emoji125][emoji125][emoji125].
mumu wangu namfananisha na Dolphin[emoji4].
🙂🙂🙂
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aisee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Nimwkufananisha halafu nimewatumia akina Dada huko wasapu[emoji23][emoji23][emoji23]
Ishia hivyo hivyo usijaribu kunifananisha
Hahah!! Ngoja nikaone huko [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Nimwkufananisha halafu nimewatumia akina Dada huko wasapu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahah!! Ngoja nikaone huko [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Natumai kwa ulichoandika Kaka mleta uzi atafafanua sababu mie Kondoo huwa nawaona tu.ila inategemea na kondoo wa wapi....kondo wengine ni wabishi na jeuri kama mbuzi.
Mleta mada ufafanue na nature ya mnyama....kuna simba wa porini na simba wa circus/maonyesho hawa tabia hazifanani,
Kuna mamba wa ulaya/america na mamba wa africa ambao hawana mazoea na binadamu hata umlee tangia akiwa yai.
[emoji1][emoji1][emoji12][emoji12][emoji125][emoji125][emoji125].
mumu wangu namfananisha na Dolphin[emoji4].
Duuh! Haya SestenHahaha Hajar wewe unamuangalia kondoo kwa umbo la nje, lakini sifa yake ya ndani ni ukimya, hana makeke kama mwanambuzi. Lakini pia niungane na mleta uzi kua unastahili sifa hiyo na nyingine nzuri walokua nazo wanyama wazuri, kuanzia ndege tausi hadi mnyama twiga....hongera
Hahahaaa. Jamaani. Lol. [emoji85] [emoji85]Ha ha ha naona sasa unabii unatimia.....am intelligent too