Mjina Mrefu
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 3,045
- 3,389
- Thread starter
- #41
Haha.. Wewe unamfananisha member gan na mnyama humu?Nilivyoona huu uzi nikajikuta nakimbilia kufungua nione yaliyomo ghafla nilichokiona ndani nikacheka sana sababu mie huwa Kondoo namuona tu na wala sijuagi tabia zake zaidi ya kila ninapomuona kajawa na kamas* huku kichwa kinaangalia chini.
Haya mleta uzi wacha na mie niamini hivyo Ahsante.
[emoji120] [emoji120] [emoji120]