Bee??? [emoji23][emoji23]sweetlee bee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bukunyika[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Pambana nao tu ikiwezekana wahasi ubakishe moja wa kuendeleza generationchief ninafuga mbuzi shamba aseee....hao wadudu sina hata ham nao, na sio kama hawajazoea banda No...ni ujeuri tu, kwenda kujichanganya na mbuzi wa watu...
Mama sabi nilikusahau mamii lakee.Mme wangu ni Simba
Mimi ni twiga
Mm nipo salama kabisa sijui ww sweetleeUko salama?
yesBee??? [emoji23][emoji23]
EeeeeHaaa! Kwa hiyo unatafunwa kila siku Mama Sabrina?
Akibaki mmoja atachoka mapema, napunguza kulingana na idadiPambana nao tu ikiwezekana wahasi ubakishe moja wa kuendeleza generation
Hapo sawaAkibaki mmoja atachoka mapema, napunguza kulingana na idadi
Ngoja nisubirie kwa hamu iyo listDuuh! Mie wanyama hata siwajui sana ila kesho ntakuja na list ya watu wangu wanguvu fulani hiviii. [emoji12] [emoji12]
Fisi maji.Jingalao anafanana na huyu hapa chiniView attachment 777393
Haaa... Kwa mtazamo wa kihistoria lakini siyo wa kidini[emoji23][emoji23]Mimi najifananisha na sokwe maana inasemekana ndii asili yetu
Penguin anavyotembea[emoji23][emoji23][emoji23]Numbisa Penguin