Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji23][emoji23][emoji23]Penguin anavyotembea[emoji23][emoji23][emoji23]
HahahaSakayo Fox
[emoji125][emoji125][emoji125] nimepatia dada eeh!Hahaha
Yaani mecheka sana jamani kakake mimi!! Khaaaa
ww utakuwa Raccoon babu!
Hapana aki[emoji125][emoji125][emoji125] nimepatia dada eeh!
Hapa naunga mkono hoja...Barbarosa anafanana na nguruwe.
Kwa sababu yeye anapenda kushabikia na kusifia vitu haramu.
Ha ha
Ewaaaaa
[emoji3][emoji3][emoji3]Hapana aki
Mmmh!
Kumbe fox wa dar eeeh[emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 777477
Hutaki auuuMmmh!
ndio sitakiHutaki auuu
Ha ha
Nipo jf karibu miaka 10 sasa ukizingatia na kipindi nilikuwa guest!!!
Ninawafahamu wengi.
eeeehKumbe fox wa dar eeeh
Ewaaaaa