Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
Kwahiyo Hajar kafanana na hili limjamaa??Kwa mimi ambaye huwa nachunga ng'ombe, kondoo, mbuzi na punda.
Ukiwa umewaswaga halafu umechanganya na mifugo ya jirani ikifika kipindi cha kuwatenganisha kila mmoja achukue mifugo yake inapofika njia ya kuelekea nyumbani, kondoo kwa sababu anainamisha kichwa chini anajikuta kaachwa kaenda na mifugo ya jirani na inatokea muda huo wewe umesahau kama kuna kondoo kanogewa na msafara[emoji23] [emoji23] [emoji23] utakapofika nyumbani ukianza kukagua unakuta kondoo hayupo ukija kushtuka unakuta umemuacha kwenye mifugo ya jirani wakati wa kuachana.
Kondoo ana akili zake ambazo ni za kipekee kabisa..
Hahaha....ndio sitaki
Ana mashavu mazuri sana!!eeeeh
Honey badgers can mate throughout the whole year, but they prefer September and October.
Wallah hatuendanii
Babu sio huyo kondoo wa kidigital, kuna wale kondoo wa kibush ambao ukikuta hajakatwa mkia utakuta mrefu na dume likikatqa mkia unanenepa na kujikuja vizuri
si kama yako dadaAna mashavu mazuri sana!!
testicles first huh![emoji20]
Eewaaasi kama yako dada
Hatari sana haka kamdudu...testicles first huh![emoji20]
[emoji23][emoji23][emoji23] labda una vinasaba vya ukorofi na kujiamini.Hatari sana haka kamdudu...
Kanampiga kwala hadi chui eti...
Huyu jamaa sijui kwanini kaamua kunifananisha na haka kamjaa asee... nakata rufaa
Donnie Charlie itabidi anifafanulie kabla sijamroga...[emoji23][emoji23][emoji23] labda una vinasaba vya ukorofi na kujiamini.
Hahahaha utawezaa au utaenda kumuomba Mshana Jr akusaidie