Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Viongozi wawili yani RC na DED makosa yao yanafanana kabisa. Miezi mitatu imepita sasa tangu DED Mafia kutuhumiwa. Hatua hazijachukuliwa mpaka leo zaidi ya kutumbuliwa.
RC jana katumbuliwa, ndiyo imeisha? Aliyekuwa DC Hai alihukumiwa kwa unyang'anyi na inadaiwa alikata Rufaa na anatumikia kifungo cha nje japo kuna utata juu ya hili.
Kwanini matukio haya kwa viongozi wetu tena mmoja msomi PhD?
===
Pia soma:
- MCL: Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi wa SAUT
- Naibu Waziri na Mbunge Pauline Gekul adaiwa kumfanyia Ukatili wa Kimwili Mtoto