Mfanano wa kosa la aliyekuwa RC Simiyu, DED Mafia na aliyekuwa DC Hai, Haki itatendeka au kombe litafunikwa wanaharamu wapite?

Viongozi wawili yani RC na DED makosa yao yanafanana kabisa. Miezi mitatu imepita sasa tangu DED Mafia kutuhumiwa. Hatua hazijachukuliwa mpaka leo zaidi ya kutumbuliwa.

RC jana katumbuliwa, ndiyo imeisha? Aliyekuwa DC Hai alihukumiwa kwa unyang'anyi na inadaiwa alikata Rufaa na anatumikia kifungo cha nje japo kuna utata juu ya hili.

Kwanini matukio haya kwa viongozi wetu tena mmoja msomi PhD?

===

Pia soma:

- MCL: Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi wa SAUT
- Naibu Waziri na Mbunge Pauline Gekul adaiwa kumfanyia Ukatili wa Kimwili Mtoto
msichojua hizi ni siasa mambo hayapo hivo yanavoonekana!

imqjin mtu anasema amebakwa mkund…. tena kwene gar?? iliyokua public space??

Kwq mnaojua anatomy ya kijambio is that so easy au alitoa ushirikiano ili ushaidi ukamilike
 
Bado anatuhumiwa, kutumbuliwa ni wajibu ili kurahisisha uchunguzi.
Ingawa kuna "tetesi" kwamba alitengemezewa zengwe kwasababu alionekana kwenda ama kujipanga kugombea ubunge kwenye jimbo la mbunge ambae ni mke wa mkuu wa mkoa maarufu huko kanda ya ziwa.
Basi tusubiri mahakama ithibitishe tuhuma kwanza.
Ingawa inaonekana binti alie husika kama ameomba kuto kuendelea na kesi.
Na pia gazeti lililo muandika x RC, nikama liliandika one side story pasipo kumsikiliza mtuhumiwa.
On top of that, inaonekana manjagu walishinikizwa kutoa barua ambayo ni "confidential" ili kuiaminisha jamii kwamba x RC alitenda kosa.
Lakini pia inasemekana, binti alienda kuripoti polisi lile tukio two days baadae toka siku "inayosemekana" alipo najisiwa na x RC.
Anyways........
Sitetei uhalifu, lakini nina maswali mengi bado najiuliza.
umeona eeeh kuna watu wanakurupukaga bila kutumia akili
 
Viongozi wawili yani RC na DED makosa yao yanafanana kabisa. Miezi mitatu imepita sasa tangu DED Mafia kutuhumiwa. Hatua hazijachukuliwa mpaka leo zaidi ya kutumbuliwa.

RC jana katumbuliwa, ndiyo imeisha? Aliyekuwa DC Hai alihukumiwa kwa unyang'anyi na inadaiwa alikata Rufaa na anatumikia kifungo cha nje japo kuna utata juu ya hili.

Kwanini matukio haya kwa viongozi wetu tena mmoja msomi PhD?

===

Pia soma:

- MCL: Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi wa SAUT
- Naibu Waziri na Mbunge Pauline Gekul adaiwa kumfanyia Ukatili wa Kimwili Mtoto
Hizi tabia wanazitoa wapi hawa viongozi
 
Bado anatuhumiwa, kutumbuliwa ni wajibu ili kurahisisha uchunguzi.
Ingawa kuna "tetesi" kwamba alitengemezewa zengwe kwasababu alionekana kwenda ama kujipanga kugombea ubunge kwenye jimbo la mbunge ambae ni mke wa mkuu wa mkoa maarufu huko kanda ya ziwa.
Basi tusubiri mahakama ithibitishe tuhuma kwanza.
Ingawa inaonekana binti alie husika kama ameomba kuto kuendelea na kesi.
Na pia gazeti lililo muandika x RC, nikama liliandika one side story pasipo kumsikiliza mtuhumiwa.
On top of that, inaonekana manjagu walishinikizwa kutoa barua ambayo ni "confidential" ili kuiaminisha jamii kwamba x RC alitenda kosa.
Lakini pia inasemekana, binti alienda kuripoti polisi lile tukio two days baadae toka siku "inayosemekana" alipo najisiwa na x RC.
Anyways........
Sitetei uhalifu, lakini nina maswali mengi bado najiuliza.
Unamfahamu huyu RC?
 
Viongozi wawili yani RC na DED makosa yao yanafanana kabisa. Miezi mitatu imepita sasa tangu DED Mafia kutuhumiwa. Hatua hazijachukuliwa mpaka leo zaidi ya kutumbuliwa.

RC jana katumbuliwa, ndiyo imeisha? Aliyekuwa DC Hai alihukumiwa kwa unyang'anyi na inadaiwa alikata Rufaa na anatumikia kifungo cha nje japo kuna utata juu ya hili.

Kwanini matukio haya kwa viongozi wetu tena mmoja msomi PhD?

===

Pia soma:

- MCL: Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi wa SAUT
- Naibu Waziri na Mbunge Pauline Gekul adaiwa kumfanyia Ukatili wa Kimwili Mtoto
Sabaya mtoe hapo,
 
It's not a matter of knowing him, this is a matter of understanding...
Unamtetea, huyu alikuwa anatembea na wanafunzi wa kike Lulumba secondary alipokuwa DC Iramba. Ni mchafu kwa ujumla. Anaomba vipindi akafundishe huku akiwinda watoto shuleni. Nisiongee mengi, niishie hapa tu!!!!
 
Ukitaka kufahamu polisi wapo active raia fanya tukio linalofanana na hayo
Ni hivi hata RAIA ukafanya kosa polisi hana shida ...
Tanguliza rupia na usijifanye mjuaji , kesi inaisha ...
Watu wakipiga kelele labda ikafika Mahakamani ..unapenyeza Rupia kwa DPP ...baasi , kesi inaweza kwenda polepole mpaka ikapotelea humo kwenye korido
 
Hatari
 
Back
Top Bottom