Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
hawaezi kumtia hatiana itakuwa kama ya GekulViongozi wawili yani RC na DED makosa yao yanafanana kabisa. Miezi mitatu imepita sasa tangu DED Mafia kutuhumiwa. Hatua hazijachukuliwa mpaka leo zaidi ya kutumbuliwa.
RC jana katumbuliwa, ndiyo imeisha? Aliyekuwa DC Hai alihukumiwa kwa unyang'anyi na inadaiwa alikata Rufaa na anatumikia kifungo cha nje japo kuna utata juu ya hili.
Kwanini matukio haya kwa viongozi wetu tena mmoja msomi PhD?
Nchi ya hovyo sana hii!Viongozi wawili yani RC na DED makosa yao yanafanana kabisa. Miezi mitatu imepita sasa tangu DED Mafia kutuhumiwa. Hatua hazijachukuliwa mpaka leo zaidi ya kutumbuliwa.
RC jana katumbuliwa, ndiyo imeisha? Aliyekuwa DC Hai alihukumiwa kwa unyang'anyi na inadaiwa alikata Rufaa na anatumikia kifungo cha nje japo kuna utata juu ya hili.
Kwanini matukio haya kwa viongozi wetu tena mmoja msomi PhD?
===
Pia soma:
- MCL: Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi wa SAUT
- Naibu Waziri na Mbunge Pauline Gekul adaiwa kumfanyia Ukatili wa Kimwili Mtoto
DuuuuhhSiku likikupata utaamini sayansi ya uchunguzi. Mipango ya ubakaji Kwa watu wazima ni makubaliano yaliyofeli kidogo kwenye malipo.
Utathalilishwa na kuonekana kwenye vyombo vote vya habariUkitaka kufahamu polisi wapo active raia fanya tukio linalofanana na hayo
Nashangaa kuona DED Mafia hadi leo yupo huruSheria zipo kwa kapuku kama kina sisi, hao wengine sheria haziwagusi mpaka wakorofishane na watawala.
Sabaya mbona yeye kageukwa?hawaezi kumtia hatiana itakuwa kama ya Gekul
Ajabu sana, msomi mwenye cheo cha kuaminiwa na Rais.huyu ameaibisha sana hata uislam, mtu na signo vile halafu analawiti? huwa anaswali nini sasa? kama kuswali kwao huwa wanaswali kwa Mungu anayebadilisha moyo.
PHD holder anapakua kinyesi? tena phd holder mwenye signal ya swala tano. au ilikuwa suna?Ajabu sana, msomi mwenye cheo cha kuaminiwa na Rais.
PHD holder anapakua kinyesi? tena phd holder mwenye signal ya swala tano. au ilikuwa suna?Ajabu sana, msomi mwenye cheo cha kuaminiwa na Rais.
Bado anatuhumiwa, kutumbuliwa ni wajibu ili kurahisisha uchunguzi.huyu ameaibisha sana hata uislam, mtu na signo vile halafu analawiti? huwa anaswali nini sasa? kama kuswali kwao huwa wanaswali kwa Mungu anayebadilisha moyo.
Haya maisha haya yana siri nyingi mnoPHD holder anapakua kinyesi? tena phd holder mwenye signal ya swala tano. au ilikuwa suna?