Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
We just don't careWho cares?
Hiyo inaudhi sana, halafu ukute mtu umeshakunywa safari kubwa 8 kisha mtu na vimaji vyake vya 1000 anataka mtazame habari. Mkimwambia ukweli anaanza kuwasimanga na bia zenu.Kinachonikera upo Bar ya mtaani unakunywa bia anakuja mnywa maji analilia habari ambayo angeangalia nyumbani kwake na mke
Watu tumekuja kulewa sio kuona mtu mmoja ametumbukia chooniHiyo inaudhi sana, halafu ukute mtu umeshakunywa safari kubwa 8 kisha mtu na vimaji vyake vya 1000 anataka mtazame habari. Mkimwambia ukweli anaanza kuwasimanga na bia zenu.
Binafsi nikipitia Jamii Forums, Jukwaa Ia siasa, habari mchanganyiko, kimataifa na mapenzi, habari za ITV au Azam na tv zingine huwa ni rivission tu, kwasabb yote nakua nimeyashajua...Ukiondoa TBC, taarifa za habari za saa mbili usiku za ITV na UTV zinafanana karibia kila kitu. Habari zinazotangazwa ni zilezile.
Kuna habari sio mbaya kufafanana kama vile habari iliyotoka kwa Rais, Mawaziri nk. Sasa shida ni kufanana hadi habari ndogondogo. Katika zama hizi za upatikanaji habari nyingi kwa njia rahisi ni Jambo la kushangaza kwa vyombo vya habari kufanana habari hizohizo.
Je, kuna uwezekano kuna chombo kwa kujihami imeamua kuhakikisha inapata taarifa zote za upande wa pili ili kuvuna wafuasi na wapenzi wa chombo chenzake?
We just don't care