Mfano kaka yako kasafiri

Daah huyu ni mtu au kachorwa tu nitamshaur kaka kama ana degree akasome master tena ughaibuni.Na kama ana diploma akasome degree + master nje ya nchi ha ha ha
 
Daah huyu ni mtu au kachorwa tu nitamshaur kaka kama ana degree akasome master tena ughaibuni.Na kama ana diploma akasome degree + master nje ya nchi ha ha ha
Heheee
 
Mi angeniachia pesa nimtunzie hata 100 nisingekula, angeikuta kamili.
Wewe hata angeacha pesa isingesaidia chochote maana mzuka ukipanda hizo currencies huzikumbuki wala
 
Si mdo maana tukasema ni vema uwashauri au we ungefanyaje
NI UJINGA KUWAZA NGONO NA SHEMEJI YAKO....MBONA HAPO HAKUNA JAMBO LA MAANA AU ROHO INAKUTOKA KWAAJIRI YA HILO PAMBO LA MWILI AMBAO UKIOZA UWEZI KUUSOGELEA?
 
Mwanamke kiumbe wa ajabu mimi nalala mara nyingi na mwarabu ila nikiwa na stress zangu huwa ananibembeleza nimkumbatie Nakataa lakini huyo huyo nje watu wanaunga behewa wanamtongoza, mimi napenda msichana anayekuza ukoo wangu tu kwa kunizalia, unless otherwise mpenzi wa ukweli ni hela
 
Wanawake wazuri kama hao ni laana tu, ukimuoa huyo stress hazikuishi maake kila kona anawindwa kwa gharama yoyote!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…