Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kabatini kwenye TVUngeiweka wap
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]nitamshauri kaka asafiri mara kwa mara
Sasa hivi watamtupia lawama shetani, nyie subirini tu!.
MI TANZANIA NDO MAANA ATUENDELEI TUNAWAZA SANA NGONO.
Na hicho pia kiwanda sheikh.Safari ya kuelekea Tanzania yenye viwanda ni defu sana
![]()
Let say kaka kasafiri na ukabaki na Shem huyo alafu mko wawili nyumba nzima na anaogopa chumbani kwake ,
Ungemshauri nini
Na ungemshaurije kaka yako kudhibiti tabia inayotaka kujitokeza??
Kiwanda cha watotoNa hicho pia kiwanda sheikh.
HeeeeeAha aha aha mbona ni sikukuu siku hiyo Du!