Mfano: Kocha Fadlu asipowapeleka Simba makundi, mtamfukuza?

Mfano: Kocha Fadlu asipowapeleka Simba makundi, mtamfukuza?

Halafu ww mtoa mada sio mwana Simba....
Halafu nikuibie siri Fadlu is there to stay...
Simba ya sasa mpka mtambike ndo mtaivuruga...
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Nyie mchezaji akihama yanga ndio mnaona anastahili kwenda nje, mlianza kwa Ajibu Sasa Feisali

Mruhusuni Mzize kwanza Kama mnatamani wachezaji waende nje.
mimi sipo pande yoyote. issue Feisal has a chance to go far.
mzize will probably leave next year
 
Marudio kwa Mkapa watatoka droo ya 1-1 tu. Halafu kwenye penalty simba atashinda penalty 3-2 na kuingia makundi labda kama CAF bado wanahesabu mabao ya ugenini
matokeo yakiwa 1-1 simba katoka
 
UONGOZI WA MO NI WA HOVYO SANA.
TIMU INASHINDWA KUSAJILI WACHEZAJI WA MAANA TOP INASAJILI WACHEZAJI DARAJA LA NNE NA TANO.

HOW COME UNASHINDWA KUSAJILI
1. Mayele.
2. Feisal.
3. Mabululu.
4. Mpanzu.
5. Kapumbu.
6. Dube

Unaya ubwege una
Mpoteza chama
Unasajili
Ayoub, nouma, okejepha, Ngoma,Ohua.
Hawa wote wameshindwa.
Sawa Mchome naona umeanza tena..
 
Wanasimba wenzangu kwema, few days to go. kabla ya mechi yetu na Al ahly Tripoli. timu yetu tunaijua wazee.

kwa mfano :

fadlu akishindwa kutupeleka makundi nani alaumiwe??

a) Mangungu
b) Fadlu
c) Timu

Tajiri asiusishwe kabisa tafadhali, atazila 😂.

Maana mchawi lazima apatikane,

Unahisi atakuwa nani mchawi??

View attachment 3099780
Mfano wewe ukifinywa na wachawi utakuja kusema humu jamii forums
 
Wanasimba wenzangu kwema, few days to go. kabla ya mechi yetu na Al ahly Tripoli. timu yetu tunaijua wazee.

kwa mfano :

fadlu akishindwa kutupeleka makundi nani alaumiwe??

a) Mangungu
b) Fadlu
c) Timu

Tajiri asiusishwe kabisa tafadhali, atazila [emoji23].

Maana mchawi lazima apatikane,

Unahisi atakuwa nani mchawi??

View attachment 3099780
Kwa game ya Libya nimekata tamaa na timu yangu.Walikuwa wazito kucheza counter wanakimbia kwa mbio za Chama!
Kama wachezaji hawawezi kukimbia unatarajia nini?

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Feisal akija simba itakuwa failure, akatae sundowns aje simba,

Mpanzu atawasumbua sana simba, akili yake ipo ulaya, in short simba needs players ambao wanataka kuja simba
HUYO MPANZU ULAYA ANACHEZA TIMU GANI KAMA KAFELI KATIMU KAMA GENK? HUYO MPANZU SASA HIVI HANA TIMU HANA MSHAHARA ANA PUMBU TU SAMATA ALISAJILIWA MOJA KWA MOJA HAKUFANYIWA HATA MAJARIBIO COZ ALIFANYA VIZURI KWANZA AFRIKA.
 
Back
Top Bottom