Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Marekani inatarajia kufanya uchaguzi wa Rais, Tar 5 Novemba. Kukiwa na wagombea sita wa kiti hicho ambapo wagombea nane, ambapo wagombea wawili kati ya hao ni wasio na vyama vya siasa.
Mbali na wagombea wa urais kuwa nane, wagombea wanaofahamika na watu wengi ni wawili ambao ni Donald Trump na Kamala Harris. Wakati watu wanasubiria kwa hamu tukio hilo wengine wameshapiga kura ambao wamepiga kura kwa njia ya "Posta".
Katika pitapita zangu mtandaoni nimepata ballot paper ya uchaguzi wa mwaka huu. Lakini naona kuna tofauti kubwa ya uchaguzi wa Marekani na watanzania.
Mathalani uchaguzi wa Marekani hauishii kwenye urais tu bali na vitu vingine.
Hii ballot paper ya hapa ni specific kwa jiji la Lansing lililopo kaunti ya Igham jimbo la Michigan.
Je kuna la kujifunza hapo?