Mfano wa ballot paper ya Marekani Je, kuna chochote cha kujifunza

Niende Kupiga Kura au Kusoma Gazeti?
Huo muda mie hata Sina
Mlolongo woote huo wa Nn?
Pia Sio kila Wakifanyacho Marekan Basi ndio Bora Kila Kitu tuige
Huo ni Utumwa tu Yaani Mmeshaona Wao ni Miungu watu
Hapo ukute umesahau miwani ya kusomea😎🙂
 
Yaani mtu anaona kuna mabadiliko ya kodi, bei za usafiri wa umma nk, asisome aweke tiki tu.

Sisi huku bongo tunaamka asubuhi tunakota tayari kuna kodi mpya, hakuna ushirikishwaji wa kutosha, halafu mtu anaona hilo ni gazeti, Dah!
Hiyo mifumo haiwezi kutumika kwenye jamii ya kanyaga twende
 
Niende Kupiga Kura au Kusoma Gazeti?
Huo muda mie hata Sina
Mlolongo woote huo wa Nn?
Pia Sio kila Wakifanyacho Marekan Basi ndio Bora Kila Kitu tuige
Huo ni Utumwa tu Yaani Mmeshaona Wao ni Miungu watu
Naona upo ndani ya mavazi ya kiarabu huku unatumia iPhone ya Mchina, ukiwapa makavu kupitia socia media forum
 
Niende Kupiga Kura au Kusoma Gazeti?
Huo muda mie hata Sina
Mlolongo woote huo wa Nn?
Pia Sio kila Wakifanyacho Marekan Basi ndio Bora Kila Kitu tuige
Huo ni Utumwa tu Yaani Mmeshaona Wao ni Miungu watu
Ila wee nawe ni pisi 😊😊
 
Wako mbali na wanapigia kura vipengele vingi, big up kwao
 
Yaani mtu anaona kuna mabadiliko ya kodi, bei za usafiri wa umma nk, asisome aweke tiki tu.

Sisi huku bongo tunaamka asubuhi tunakota tayari kuna kodi mpya, hakuna ushirikishwaji wa kutosha, halafu mtu anaona hilo ni gazeti, Dah!
Unaona sasa the difference, gape ni kubwa sana
 
Pamoja na mbwembwe zote hizo hado mshindi anaweza asiamuliwe na popular vote bali akaamuliwa na kakikundi cha watu wachache kwenye Electrol College

Democracy ilishabakwa kitambo sana Marekani

Na nyie pelekeni waangalizi wenu wa kimataifa Marekani kuangalia kama uchaguzi ni huru na wa haki
 
Mkuu sasa unalinganishaje Uchaguzi wa US na wa hapa bongo?
Hapa Bongo wizi wa kura unapangwa kabla ya uchaguzi.
 
Completely hakuna cha kujifunza wala kuiga kwenye hili gentleman 🐒
 
Mimi napenda hii ije Tz. Popular vote ni kitu kinafanya watu wazingua, lazima tutumie meritocracy badala ya huu mfumo mtu ana miaka 18 apige kura kuamua nani awe Rais
 
Bongo unawekewa hadi picha ya mhusika na bado unakosea 😂 hy ikija Bongo watadhani ni betslip
 
GOogle inatuhumiwa kumhujumu trump, ukisearch kumpigia kura kamala inakuja locayor ya kukuonesha kituo cha kupigia kura. Ila ukisearch kumpigia kura trump zinakuja tu habari za uchaguzi kwa ujumla.

Ni kama tume ilivomuwekaga lissu chini kabisa kwenye ballot🤣
 
Wala hawachaguliwi na kikundi cha watu wachache. Kinachotokea ni ile wanaita
"winner take all".
Kwamba;
Wananchi wanavyopiga kura katika jimbo flani,mshindi katika jimbo hilo huchukua kura zote za Electral College za jimbo hilo.

Majimbo makubwa yenye watu wengi ina wajumbe wachache wa Electral college na majimbo madogo yenye watu wachache ina wajumbe wengi wa Electral college.

Ni mfumo mzuri sana kwani huzuia majimbo makubwa kuwa na maamuzi ya kuchagua viongozi wao peke yao.

Mfano kwa hapa kwetu,Wasukuma na jamii ya watu wanaoishi Dar es Salaam pekee inaweza kuchagua Rais, na sehemu nyingine zenye watu wachache kama Lindi,Njombe wanakuwa wasimdikizaji tu kwamba Dar na Mikoa ya kanda ya ziwa wakisema tunamvhagua Rais 'G' basi uwezekano wa mtu huyo kuwa Rais ni mkubwa sana na viongozi watapigana kufanya kila kitu maeneo hayo tu ila kwa mfumo wa electral vote college ni ngumu kwani na maeneo yenye ushawishi mdogo wanafanywa kuwa na maamuzi makubwa kwa kuumia electral college.

Kwasisi tungetumia mikoa iliyosahaulika
 
Nipe maana ya democratic election?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…