Mfano wa Kodi za Mitandao Amazon

Mbobevu wa uchumi haya mambo hayajui???
 
Umeshawahi kuajiriwa?

Posho zako zilikuwa zinakatwa KODI ya P.A.Y.E?

Jibu ni NDIYO.
Hata mshahara wa mwezi uliopita imekatwa. Na ndio maana ya neno PAYE ( LIPA KWA KADRI UNAVYOVUNA/UNAVYOPATA).

Tuna mazingira ya wafanyakazi wa serikali ambao mishahara inatoka hazina na posho wanapata toka halmashauri, wao hawakatwi.

Huku private KILA kitakachoingia kwenye mshahara mkusanyiko wote unakatwa kodi.
 
Je wanaweza kulipa corporate tax bila ya kuwa na place of business in Tz??
 
Mkuu sijasoma vizuri yote lakini umeongelea Amazon, Alibaba n.k. unadhani ukiwa seller au buyer haulipi Kodi ?, Ukiwa Seller wewe kama muuzaji unalipa Kodi (Kulingana na Sheria za Nchi yako) ukiwa mnunuzi pia Kodi utalipa (Kulingana na Sheria za Nchi Husika)...

Hizi zote ni complications tu za kutaka kuwakamua watu ambazo zitapelekea watu kupunguza kutumia service fulani unataka Amazon akulipe wewe Kodi tena kwenye faida yake ya makato ya muuzaji (kama hio sio double taxation ni nini) ?

Ukiwa Content provider kwenye platform ya watu (nchi yako itakutwanga wewe kulingana na mapato yako) Kama nchi haitaki wananchi wake wawe walaji wa hizo content kwenye hizo platform hio ni dictatorship ya kulazimishana choices na kama huko ndio tunataka kwenda sio maendeleo bali ni kurudi nyuma
 
Umeeleza kwa kirefu na kwa ufafanuzi mzuri kabisa na kwa mifano halisi.
 
Na tunao BET makato ni makubwa jmn jmn
 
kuhusu kodi za mitandao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…