Mfanyabiashara Alex masawe abadili dini na kuwa muislamu

Mfanyabiashara Alex masawe abadili dini na kuwa muislamu

Makonde plateu

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2022
Posts
1,443
Reaction score
3,480
Mfanyabiashara maarufu na mmilikiwi wa A. M investment na mahotel mbalimbali nchini Alex massawe abadili dini na kuwa muislamu

Alex massawe alikimbia nchi ya Tanzania na kukimbilia south Afrika kutokana na tuhuma mbali mbali.Hongera bwana Alex massawe kuja kwenye dini ya haki na dini yenye Nuru.

Allah akbar! Mungu akuongoze kwenye dini ya haki na yenye nuru! Alex Massawe
 
Back
Top Bottom