Mfanyabiashara auawa kwa risasi nje ya nyumba yake

Mfanyabiashara auawa kwa risasi nje ya nyumba yake

Sildenafil Citrate

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2021
Posts
577
Reaction score
2,595
Kamanda wa Polisi wa Thika, Daniel Kinyua, amethibitisha kifo cha mfanyabiashara wa Magali James Mwangi (47) kilichotokea baada ya kupigwa risasi na watu wasiojulika nje ya nyumba yake maeneo ya Kimathi.

Wauaji hao waliokuwa karibu sana na sehemu alipo walifyatua risasi mbili ambapo moja ilimpiga kifuani na nyingine mguuni majira ya saa 1:30 usiku kisha wakaondoka kwa pikipiki iliyokuwa inawasubiria.

Huku uchunguzi wa tukio hili ukiwa bado unaendelea, bado Polisi hawajabaini kama kuna mali yoyote iliibwa wakati wa shambulio hilo.

Chanzo: Citizen Digital
 
Back
Top Bottom