Bujugo alishafariki,kuhusu hiyo shule ya Misenyi sijui ila Bujugo alikuwa mfadhili wa Bujugo sekondari kijijini kwao.Jina Bujugo siyo lake ni la kijiji.Nasikia zamaji hata yeye
Yesu hakuhubiri sheria ya jino kwa jino.Ina maana usipompata uliyemkosea Yesu hakuokoi? Mtume Paulo ni wapi aliwaomba msamaha aliowatesa? Halafu tunaamini,To every general rule there is an exception.Utapatana vipi na mtu ambaye alishafariki na hakuna ndugu wala jamaa yake? Kasome vema injili ya mwana wa Adam uje ukiri hapa kwa hakika Lesheya yuko mahali pema mkono wa kuume wa baba yetu.Hata kama kupatana na uliyemkosea ni lazima ,una evidence gani kwamba Lesheya hakulitimiza hilo?Mwenzio mali nyingi kaliachia kanisa.