TANZIA Mfanyabiashara Emilian Woiso afariki dunia

Sina imani kama wewe

Wewe ndio unatuaminisha unacho amini wewe

Nikuulize tu Bwana Kitali,tupo hapa tuna discuss mambo ya kidunia,tunatoa hoja za kidunia....yanini umetumia imani zako binafsi za kidini kudiscuss mjadala huu ambao hauhusiani na dini kabisa?

Kulikua na haja gani?

Kama sio kujawa na extremism ya ushenzi wa dini tu

Halafu unadhani kila mtu anajua what the fvck is BIBLE?au Yesu?au Mungu?

Christians are worst people
 
Hio mbona
Sio mtaalam sana wa Bible ila mafundisho nilipitia..
Somo la toba liko very clear... lazima ujutie mwenyewe kwanza, pili uende ukaombe msamaha kwa uliemkosea...na mwisho ndio uende kutubu kwa Mungu..
Sasa kama uliemkosea kashiakufa sijui unatoboa vipi hapo..
Sio uzingue watu halafu ukimbilie church ili dhambi zifutwe.
 
Haahaahaaaaa we madam unapenda ubuyu.ila kiukweli jf kuna watu aise yani ukileta kichwa cha habari watu wanashuka esse ya kutosha. Kama history ya advance
Yaani Jf konyo.
Watu wanatiririka mpaka unaogopa.
Nahisi hata ndugu zake wameshika vichwa huko nyuma ya keyboard
 
Nimekuuliza huu mjadala umeanzia kwa Emily oiso na watu wakazungumzia ameokoka ndio mjadala ulipoanzia. Sasa nakushangaa unavyopanic mzee. Nimekuambia tena huhitaji hisia kuelezea unachoamin. Coz kila mtu yupo sahihi kwa kile anachoamin. Muislam anamuona mkristo kapotea, mbudha anamuona Shinto kapotea nk nk. Vivyo hivyo wasioamin chochote kama wewe unatuona sote tumepotea na upo sahihi. Ujinga ni pale wewe unapotaka tuamin kile akili yako ilichokariri. Mzee kila kitu humu dunian ni namna ulivyoprogramiwa au ulivyojiprogram. Hata maandish unayotumia kuandika hapa ni mtu alikuprogram kwamba hii ni Tau B so usiumize shingo mzee, fanya kile kinachokufanya uinjoi. Na hata hapa punguza kuwasemea watu mzee watu wanauelewa wao.
 
Bahati mbaya au nzuri viongozi wetu wa kiroho wakisikia shuhuda hizo badala ya kumuongoza kondoo wa bwana mahali zilipo mali za mzulumaji ili kurudisha kwa wahusika ikiwezekana wao wanapiga kimyaaa
mali imekua mali! Watu wanaabudu sana mali kuliko utu! Na hii dunia ukiwa lege lege mbona wanakulambisha mchanga.
 
Kuna bidhaa gani nyingine mkuu??, wadau wa kuvukisha wapo??.
Usalama wa kuvukisha ukoje mkuu?? Mamaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…