raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
Duh hatari sana 80s kweusi serikali ilikuwa hamna nini bado akaendelea kuwepo mtaaniIla ameacha assets worth billions of money. Amewahi kuchoma mtu ndani ya nyumba ili amiliki mali, hiyo ni mapema mwanzoni mwa 1980s
Hii comment imenichekesha mpaka watu wamenishangaa kwenye basi. Lazima ucheke.nilipataga dili la ku supply materials shulen kwake kuna mwananangu akaniambia huyo dingii ni mgaigai balaa alishawah kumfanyia kazi akawa kila akienda kufuatilia malipo yake anamkuta hayat kaweka bastora mezan anasafishasafisha virisasi inabid muhuni azuge alipita kusalimia baada kupata hii clue nikapita zangu hivi
Na hilo Andrew ni jina la mtoto wake ambaye alikufa siku nyingi na inaaminika huyu dingi alimtoa kafara.HI've alikuwa anamiliki sio Andrew father sijui??
R.i.p mkwe
Na shule ilifungwa kwa mazingira hatarishiNa hilo Andrew ni jina la mtoto wake ambaye alikufa siku nyingi na inaaminika huyu dingi alimtoa kafara.
Yupo mwanawe alikuwa anasimamia mradi wa kupika nguzo za umeme huko Iringa alikufa mysterious death naye pia inasemekana mzee alimtoa kikowa.Nasikia kuna mwanaye mwingine kafariki kama miezi 2 iliyopita, je kuna ukweli hapa?
Cryptococcal MeningitisNdiyo maana yake. Kwanza alinza kuchanganyikiwa akili ndiyo sasa Israili kaja kufanya finishing.
Late 60s or early 70sAna umri gani?
Hapo Mali zinarudi zilikotoka bila shakaNa shule ilifungwa kwa mazingira hatarishi
Yupo mwanawe alikuwa anasimamia mradi wa kupika nguzo za umeme huko Iringa alikufa mysterious death naye pia inasemekana mzee alimtoa kikowa.
Huyu mzee nampata . Kwao ni pale tarakea kijiji cha mokombero huko rombo.. Ashawahi kuwa kanisa la siloamu . Enzi zake alikuwa mafia sana kwa wanaomjua. anyway mungu ndio mtoa hukumu pekee.R.I.P mfanyabiashara.
Woiso atakuwa ni mchaga wa Rombo huyu.
Itoshe tu kusema kilikuwa cha utata.Cha kutatanisha kivipi?
SawaItoshe tu kusema kilikuwa cha utata.
Sio huyu mkuu. Huyu alikuwa tapeli mzur tu ila kuna sehem nilimkomesha pamoja na yote namuombea kwa Mungu amsamehe madhaifu yake. Apumzike kwa aman.Aweza kuwa mwenyewe
Huyu alikufa kwa ajali. Alikuwa bonge fulani hivi.Yupo mwanawe alikuwa anasimamia mradi wa kupika nguzo za umeme huko Iringa alikufa mysterious death naye pia inasemekana mzee alimtoa kikowa.
Sio huyo bana acha ubishi watu wote hao nimefanya nao kaz. Huyu ana kiwanda cha nguzo huko mufindi na watoto wote wa kiume wamekufa kasoro mmoja ni teja pale hongkong china.Wa Salasala bidhaa za ngozi na shule ya Cornelius, Tarakea pale Mwenge kwenye soko la mbao ni huyo huyo Lesheya Woiso.
Jina lake MosesHuyu alikufa kwa ajali. Alikuwa bonge fulani hivi.
Aisee 😯Alikuwa dhulmati sana huyu.