TANZIA Mfanyabiashara Emilian Woiso afariki dunia

TANZIA Mfanyabiashara Emilian Woiso afariki dunia

Ila wazee wa kichaga pesa zao walizipata kibishi mnoo
huyu mzee inasemekana ashawahi kuua maza mjamzito wa mapacha 2. Hiyo ni miaka ya nyuma ambapo biashra ya kuvusha magendo hususan bia ilikuwa imeshamiri pale mpakani mwa tz na kenya. Hiki kisa ni moja ya visa vingi ambacho hakikauki mdomoni mwa watu wanaomjua pale tarakea.
 
Yupo mwanawe alikuwa anasimamia mradi wa kupika nguzo za umeme huko Iringa alikufa mysterious death naye pia inasemekana mzee alimtoa kikowa.
Ni kweli kabisa. Kuna binti yake mkubwa anafanya biashara ya chuma chakavu. Anakusanya toka Zambia na Malawi na ku export. Lakini anaweza kukaa miaka 3 hajakutana na baba yake na wote wako Dar
 
Back
Top Bottom