TANZIA Mfanyabiashara Haroon Zakaria Afariki Dunia

Mfanyabiashara Haroon Zakaria amefariki hii leo.anamiliki makampuni kadhaa ikiwemo Murzah Oil mills,zan fast ferries , majipoa Nk.

Mwenyezi Mungu ailaze mahela pema peponi roho yake.
View attachment 1768882
Daaah, Mzeee alikuwa Tycoon aliyeshika sawa sawa Soko la Bidhaa za Sukari, Mafuta ya kula nk.
Nitakumbuka sana Foleni za Dukani kwake hapo Kitumbini Daaaslam wakati wa Ujana wangu nikipambana na Maisha. Mungu amuweke mahala Pema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…