TANZIA Mfanyabiashara Haroon Zakaria Afariki Dunia

TANZIA Mfanyabiashara Haroon Zakaria Afariki Dunia

Mfanyabiashara Haroon Zakaria amefariki hii leo.anamiliki makampuni kadhaa ikiwemo Murzah Oil mills,zan fast ferries , majipoa Nk.

Mwenyezi Mungu ailaze mahela pema peponi roho yake.
View attachment 1768882
Bora amefariki kipindi cha Samia, ingelikuwa kipindi cha Magufuri tungelisikia corona imefanya yake 😄😄😄😁kuna watu walimchikia Magufuri,mpaka kila baya lote lililotokea lililetwa na Magufuri,kaondoka hatusikii nyimbo za corona tena.
 
Back
Top Bottom