nyampanaga
JF-Expert Member
- Nov 16, 2012
- 1,104
- 559
'Murzah Oil Mill'...hujawahi kutana na maandishi hayo,wewe wa mwangapi Mkuu?Eeh matajiri wengi..simfaham huyu
Yale mafuta ya alizeti chupa imeandikwa Murzah sasa mwenye kampuni ndio huyu MarehemuEeh matajiri wengi..simfaham huyu
Watakua na ubia hao wazanzibari.Kwan hiyo Zan fast ferries si wanasema ni za Turkey?
Kwan hiyo Zan fast ferries si wanasema ni za Turkey?
Huyu jamaa anae hela kama maji ya bahari! Boss aliokuwa ana support kampuni ya Mshua ya LogisticsEeh matajiri wengi..simfaham huyu
Toto la kishua😁😀Huyu jamaa anae hela kama maji ya bahari! Boss aliokuwa ana support kampuni ya Mshua ya Logistics
Mzee wa mafuta ya kula korie ameumaliza mwendo kwa amani...
Hizi familia biashara hazifi baba akifariki
Bora amefariki kipindi cha Samia, ingelikuwa kipindi cha Magufuri tungelisikia corona imefanya yake 😄😄😄😁kuna watu walimchikia Magufuri,mpaka kila baya lote lililotokea lililetwa na Magufuri,kaondoka hatusikii nyimbo za corona tena.Mfanyabiashara Haroon Zakaria amefariki hii leo.anamiliki makampuni kadhaa ikiwemo Murzah Oil mills,zan fast ferries , majipoa Nk.
Mwenyezi Mungu ailaze mahela pema peponi roho yake.
View attachment 1768882
Mfanyabiashara Haroon Zakaria amefariki hii leo.anamiliki makampuni kadhaa ikiwemo Murzah Oil mills,zan fast ferries , majipoa Nk.
Mwenyezi Mungu ailaze mahela pema peponi roho yake.
View attachment 1768882
Leo asee mkuuUmetoka mkoani lini mkuu?
Yeah..halafu wazee sana ni vigumu kumfahamu kama MoWengi hatuwafahamu lakini unatumia bidhaa zao.
Mwingine Nani?Duh.. Matycoon wanaisha.
Mkuu tafadhari jazia nyama najua wajua mengi kuhusu yeye. Wewe born townDuh
Ova