TANZIA Mfanyabiashara Haroon Zakaria Afariki Dunia

Kuna kijana wake mmoja anaishi Canada
Ila huyu mzee alikuwa anaijua hela,licha ya utajiri wake kama kawaida yao bado wanaishi kwenye flats za nhc[emoji23][emoji23]

Ova
Hana mbwembwe ndo maana!!!
 
Kiufupi kutokana na maelezo ya humu huyu mzee hata kama alikuwa na dhambi zingine but inaonesha alikuwa na roho nzuri kupita kiasi... Wengi wanamsifia, na wengi wape

Basi alale salama huko aliko[emoji120]
Umeona anasifiwa mpk raha yaani mpk mabaya yake km yapo waona haya kusema
 
Kuna kijana wake mmoja anaishi Canada
Ila huyu mzee alikuwa anaijua hela,licha ya utajiri wake kama kawaida yao bado wanaishi kwenye flats za nhc[emoji23][emoji23]

Ova

KUna tafauti kubwa kati ya mtu mweusi na mtu mweupe mkuu. Acha sisi tuendelee kuwa maskini tu
 
Umeona anasifiwa mpk raha yaani mpk mabaya yake km yapo waona haya kusema
Angekuwa ihiiihiiiihiii ungeona mitusi humu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787]

Wabongo shenzi sana[emoji16][emoji16]
 
Huyu mzee alikua na hela chafu aisee, Mimi toka ni mdogo miaka ya 90's nakumbuka jina lake lilikua likivuma sana mjini.
Lakini alikua yuko very simple kabisa yani dah we acha tu
 
Yeye ndiye aliyetaka hayo kwani hata mvua ikinyesha utasikia tunamshukuru mwendazake kwa kutuletea mvua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…