residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
Corona au yeye jiwe? Hakuua kwa sera zake mbovu!!??Bora amefariki kipindi cha Samia, ingelikuwa kipindi cha Magufuri tungelisikia corona imefanya yake [emoji1][emoji1][emoji1][emoji16]kuna watu walimchikia Magufuri,mpaka kila baya lote lililotokea lililetwa na Magufuri,kaondoka hatusikii nyimbo za corona tena.