TANZIA Mfanyabiashara Haroon Zakaria Afariki Dunia

Corona au yeye jiwe? Hakuua kwa sera zake mbovu!!??
 
Dah akipata nafasi ya kuongea na mungu tunaomba atushtakie jiwe huko kwa aliyotutendea huku
 
Mkuu...ingia la sinza or kkoo!

Kuna wadada nilipishana nao mlangoni wanasonya kabisa nilivyoingia ndo nikajua why[emoji848][emoji848]

Simsingizii, sina wivu ila zile sio nguo or viatu vya mtu mwenye akili timamu kuvaa, hata kama ni masikini!
Ndiyo maana babalevo alidai hatavaa tena minguo iliyochanikachanika ya vunja
 
Hawa ndio wafanyabiashara wenyewe yani ukitajiwa biashara zake unaziona kabisa hizi hapa na unazitumia kila siku. Sio wale wabongo mikogo mingi ila ukitafuta kazi zake mpaka usimuliwe kwa nguvu
Innallillahi Wainna Illaihi Raj Un. Kwa hiyo wale mabilionea wa Arusha wangeweza kuajiriwa na huyu Tycoon. Mwenyezimungu amlaze mahali pema peponi kwa yote aliyotenda.
 
Umetoka mkoani lini mkuu?
Ha ha haa,umejuaje Kama hayupo mkoani kwa Sasa?
Je huyo tajiri bidhaa zake hazifiki mkoani?
Ni lazima kila tajiri tumfahamu?
Ninatumia bidhaa nyingine Sana MATAJIRI wa hizo bidhaa siwafahamu.
Wengine nawajua lakini bidhaa zao sizijui.
Umenichekesha kwa kweli.
 
Imani ameilinda mwendo ameumaliza.
Apumzike kwa amani[emoji120]
 
acha tu kaka[emoji38][emoji38]
 
mpaka hapo naimani keshatoboa.

sio akina mwamedi wanatuzingua tu aaah.
 
Vunja bei ana duka sinza tu na dodoma la nguo nchi nzima anajulikana na vijana. Hawa kina zakaria wanauza mafuta korie na sabuni za foma miaka na miaka kila duka nchi nzima lina bidhaa zake na kila mtanzania amewahi zitumia ila tajiri sio maarufu
Ana duka Sinza , kinondon, Dodoma, mwanza , iringa , mbeya na Arusha
 
Hawa ndio wafanyabiashara wenyewe yani ukitajiwa biashara zake unaziona kabisa hizi hapa na unazitumia kila siku. Sio wale wabongo mikogo mingi ila ukitafuta kazi zake mpaka usimuliwe kwa nguvu
Vipi Late Mafuruki unamzungumzije
 
Serikal si walimfungia hasiagize sukar kwa sababu anaingiza sukar zilizo expired?
Hanunui sukari nje
Ana mkataba wa viwanda vyote vya sukari nchini .wakishazalisha wanampa yeye auze.yeye na mo tu.
Ikitokea viwanda vya hapa nchini uzalishaji hautoshi ndo ananunua nje
Ana hela kama oxygen yaaani

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…