TANZIA Mfanyabiashara maarufu wa madini Arusha, Saitoti afiwa na Baba yake

nyamadoke75

Member
Joined
Apr 1, 2020
Posts
93
Reaction score
288
Mfanyabiashara Maarufu Mkoa wa Arusha na Manyara na mmiliki wa kampuni za uchimbaji wa madini ya Tanzanite Azo Africa Limited na Germ and Rock Ventures, Joel Saitoti amepata pigo zito kwa kufiwa na baba yake Mzazi Emmanuel Laidoson Mollel ambaye alikuwa ni Mkulima na Mfugaji katika kijiji cha Nduruma marurani Wilayani Arumeru, Mkoani Arusha

Taarifa iliyotolewa na familia imesema kwamba baba yao aliugua kwa muda mrefu kwa kipindi cha miaka mitano na kufariki dunia February 2, 2023 hivyo Mazishi yatafanyika February 7, 2023 kijiji cha Marurani kata ya Nduruma Wilayani Arumeru

 
Pongezi kwa baba na sherehe pia kwa kuishi miaka mingi hapa duniani.
 
Mleta mada acha porojo za kindezi jamvin. Mbwiga wewe!
 
Mzee apumzike kwa amani. Ila sio pigo kubwa, labda kwa familia yake tu. Kwa wengine ni kawaida tu, kila siku watu wanakufa.

Ila umetimiza wajibu wako. Uchawa sio kwenye kula bata tu, hata kwenye matatizo, japo umekuza sana mwamba kusema pigo kubwa kama vile amekufa baba wa taifa.
 
Ujin
GA mtupu kwahiyo hii nayo ni habari?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…