TANZIA Mfanyabiashara maarufu wa madini Arusha, Saitoti afiwa na Baba yake

TANZIA Mfanyabiashara maarufu wa madini Arusha, Saitoti afiwa na Baba yake

Mkuu, ebu muwe mnapunguza ukali wa vichwa vya habari ili kupunguza taharuki.
R.i.P Baba Saitoti
Siku hizi Mirerani imekua sio tamu kama enzi zetu za miaka ya 90 kusubiria mawe Kia kule na kutoboza kwa Afgem
 
Mfanyabiashara Maarufu Mkoa wa Arusha na Manyara na mmiliki wa kampuni za uchimbaji wa madini ya Tanzanite Azo Africa Limited na Germ and Rock Ventures, Joel Saitoti amepata pigo zito kwa kufiwa na baba yake Mzazi Emmanuel Laidoson Mollel ambaye alikuwa ni Mkulima na Mfugaji katika kijiji cha Nduruma marurani Wilayani Arumeru, Mkoani Arusha

Taarifa iliyotolewa na familia imesema kwamba baba yao aliugua kwa muda mrefu kwa kipindi cha miaka mitano na kufariki dunia February 2, 2023 hivyo Mazishi yatafanyika February 7, 2023 kijiji cha Marurani kata ya Nduruma Wilayani Arumeru

View attachment 2505226View attachment 2505227
Kwahiyo tufanyeje??

Ila tuko kwenye kizazi Cha HOVYO sana.

Attention seeking morons everywhere.

Clout chasers
 
Mwanaume Kutumia matusi ni ishara ya mwanaume dhaifu ili aonekane ana nguvu😂
Kama hufahamu biashara watu wanafanya ni vizuri kuuliza
Sifahamu ndo maana nikakuuliza kuwa hayo mambo ya b kadhaa alikwambia wakati anakubandua? Jibu swali tafadhali
 
Sifahamu ndo maana nikakuuliza kuwa hayo mambo ya b kadhaa alikwambia wakati anakubandua? Jibu swali tafadhali
MaSwali wajibiwa watu wenye pesa sio wewe mlalahoi na mwanaume dhaifu
 
Back
Top Bottom